Tuesday, September 03, 2013

SAFARI YA NYAGATWA HASSAN NA HUSSEIN






Mwaka 2013 Mwezi wa 9 Tarehe 31 ilikuwa ni moja katika siku kuu za historia katika Maisha ya Ndugu wawili Hassan na Hussein Nassor Amran Monero / Kitiyagwa.
M/Mungu alipo waafikisha kuweza kusafiri na kufika katika sehemu ya asili walipotoka wazee wao Picha zina eleza Jinsi safari hiyo ilivyokuwa.

Vile katika Safari hiyo waliongozana na Sharfu Sayyd Ahmad Mjukuu wa Habib Omar Bin Sumeit .

Picha kwa Hisani ya Madrasatul Amin

No comments:

Post a Comment