WAFANYAKAZI WA STRABAG WAJENZI WA MRADI WA MABASI YAENDAYO KASI DAR ES SALAAM (DART ) WAFUNGIWA NJE NA UONGOZI
Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi Dar es Salaam (DART),
ya Strabag, wakiwa nje ya lango kuu la kuingilia makao makuu ya kampuni
hiyo, Ubungo, Dar es Salaam baada ya Uongozi wa kampuni
hiyo kuwafungia nje, kutokana na mgomo wa kudai maslahi zaidi kufanyika.
CHANZO
BOFYA HAPA
Vile vile unaweza fatilia habari hizi kwa Link hii
Bofya hapa
No comments:
Post a Comment