Sunday, September 22, 2013

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA BUTIAMA

IMG_7745Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katikati akiwa katika picha ya pamoja na Andrew Nyerere Mtoto wa Kwanza wa Mwalimu  Julius K. Nyerere , Kinana alifanyakazi na Andrew Nyerere wakati wakilitumikia Jeshi la Ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ), Katibu Mkuu huyo jana aliendelea  na ziara yake katika wilaya ya Butiama katika kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi, Kinana ataendelea na ziara yake katika Wilaya ya Serengeti leo. Kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa (NEC) Itikadi Siasa na Uenezi.11Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa pili kutoka kulia  akimsikiliza Balozi Safari wakati alipotembelea Shina namba 14 Mwitongo Butiama na kuzungumza na wanachama wa shina hilo ikiwa ni pamoja na kusikiliza kero zao.13Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi akisalimiana na Mzee Jack Nyamwaga huku katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wa pili kulia akizungumza na mzee Mdogo wa Mwalimu Julius K. Nyerere Daniel Nyerere mara baada ya kumaliza kikao chake na wanachama katika shina namba 14 Mwitongo.14Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi CCM kulia akizungumza na Mh. Nimrod Mkono aka  “Mkono kwa Mkono”Mbunge wa Jmbo la Musoma Vijijini. 15Hili ni Jengo la zahanati ya kata ya Busegwe ambalo ujenzi wake unaendelea kwa kushirikisha Halmashauri ya wilaya ya Butiama vijijini Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini Mh. Nimrod Mkono na nguvu za wananchi.16Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  akishiriki kupia lipu wakati alipokagua ujenzi wa zahanati ya Busegwe jana kulia ni Mgendi Sikila mmoja wa mafundi wanaojenga zahanati hiyo.17Katibu Mkuu wa UWT Taifa na Mbunge wa viti maalum kutoka mkoa wa Mara Amina Makilagi akishiriki kubeba udongo, wakati Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  alipokagua ujenzi wa zahanati hiyo kata ya Busegwe18Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Mganga mkuu wa Wilaya ya Butiama Dk Wilbert Manase wakati alipotembele ujenzi wa zahanati hiyo. 19Mbunge wa Jimbo la Musoma vijijini Mh. Nimrod Mkono akitoa maelezo mbele ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akikagua ujenzi wa zahanati Busegwe20Mbunge wa Jimbo la Musoma vijijini Mh. Nimrod Mkono akishiriki kucheza ngoma na moja ya vikundi vilivyokuwa vikitumbuiza  katika ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.21Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimuangalia Katibu Mkuu wa UWT Taifa Bi. Amina Makilagi wakati akishiriki kucheza ngoma.22Mkuu wa Wilaya ya Butiama Mama Mabula akizungumza na wananchi katika kijiji cha Bwai.24Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo wakati alipokuwa akimsikiliza mzee Nyanda Totela wakati alipokagua Shule ya Msingi ya Bwai Musoma vijijini jana25Shule ya Msingi Bwai inavyoonekana28Nape Nnauye Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi CCM kulia akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Kyabakari Butiama jana29Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa mgolole na Katibu wa kabila la Zanaki Mzee Peter Nyamrubwe Nyamrubwe kama ishara ya kuwa mmoja wa viongozi wa kimila wa kabila la wazanaki, kulia ni Mh Nimrod Mkono Mbunge wa Jimbo la Musoma vijijini.30Katibu Mkuu wa CChama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi baiskeli kwa Gwesani M. Gwesani moja wa makatibu kata waliokabidhiwa baiskeli hizo kwa ajili ya kuimarisha Chama Wilayani Butiama32Baadhi ya ananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara
31Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi akiwahutubia wakazi wa mji wa Kyabakari Wilayani Butiama jana.
PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-BUTIAMA MARA

No comments:

Post a Comment