Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akielekea kwenye ukumbi wa Kongamano la Kimataifa
la Utamaduni wa sutaarabu wa Kiislamu lililofanyika katika Hoteli ya
Kimataifa ya La Gemma De est Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa na
wenyeji wake Mkuu wa Mkoa huo Pembe Juma Khamis Kati kati na Waziri wa
Habari wa Omar Dr. Abdulmumin Mansour Bin Said Al-Hasani
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar Ali Juma Shamuhuna akitoa hotuba ya kukaribisha mgeni rasmi
Balozi Seif kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa
Tanzania Dr. Moh’d Gharib Bilal kulifunga Kongamano la Kimataifa la
Ustaarab wa Utamaduni Afrika Mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akilifunga Kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa
Utamaduni wa Kiislamu afrika mashariki kwenye hoteli ya La Gemma De Est
Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya washiriki wa kongamano la
Kongamano la Kimataifa la Ustaarab wa Utamaduni wa Kiislamu afrika
mashariki kwenye hoteli ya La Gemma De Est Nungwi wakifuiatilia hotuba
ya ufungaji wa kongamano hilo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif akisalimiana na KatibuMkuu mstaafu wa Umoja wa Afrika Dr.
Salim Ahmed Salim ambae nay eye alikuwa mshiriki wa kongamano la
Kimataifa la Ustaarab wa Utamaduni wa Kiislamu afrika mashariki.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif akibadilishana mawazo na wajumbe wa kongamano la Kimataifa
la Ustaarab wa Utamaduni wa Kiislamu afrika mashariki kutoka Oman
wakiongozwa na sheikhamauhannak Hairus nje ya ukumbi wa Hoteli ya La
Gemma De Est Nungwi.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
No comments:
Post a Comment