Friday, September 06, 2013

Makamo wa Rais Dkt. Bilal Akutana na Uongozi wa Kampuni ya Simu ya ZANTEL Ikulu Dar.

 

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Simu za mkononi Zantel, Pratap Ghose, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam
 

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zante, waliofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.kwa ajili ya mazungumzo
 

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, Jana Sept 5, 2013. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment