Mkimbiza Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akiimba wimbo wa kuusifia Mwenge wa Uhuru (Tumeuwasha mwenge wetu na uhuru na kuuweka juu ya mlima Kilimanjaro) wakati wa halfa ya chakula cha usiku iliyofanyika hivi karibuni huko mnazi mmoja kwa ajili ya kuwaaga wakimbiza Mwenge huo ambao walikuwa wamaelekea Mkoani Mtwara. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila na kulia ni kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Taifa Juma Ali Simai.
Mkimbiza Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akiangalia mojawapo ya vyeti walivyokabidhiwa wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa wakati wa halfa ya chakula cha usiku ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza Mwenge hao iliyofanyika hivi karibuni huko mnazi mmoja Mkoani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Ludovick Mwananzila na kulia ni kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Taifa Juma Ali Simai na akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya Lindi Dk.Mohamed Nassoro.
Mkimbiza Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti cha kushiriki kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Lindi Lt.Lubinga kutoka Iringa katika halfa ya chakula cha usiku kwa ajili ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza Mwenge hao iliyofanyika hivi karibuni huko Mnazi mmoja Mkoani Lindi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Ludovick Mwananzila na kulia ni kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Taifa Juma Ali Simai akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dk.Mohamed Nassoro
Mkimbiza Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti cha kushiriki kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Lindi Lt.Zuwena Abdallah wakati wa halfa ya chakula cha usiku kwa ajili ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza Mwenge hao iliyofanyika Mnazi mmoja Mkoani humo. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa lindi Ludovick Mwananzila na kulia ni kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Taifa Juma Ali Simai akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Dk.Mohamed Nassoro.
Mkimbiza Mwenge namba moja katika manispaa ya Lindi Mke wa Rais ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa (NEC) Mama Salma Kikwete akimkabidhi cheti cha kushiriki kukimbiza Mwenge wa Uhuru katika mkoa wa Lindi Juma Ali Simai ambaye ndiye Kiongozi wa mbio hizo kitaifa katika halfa ya chakula cha usiku kwa ajili ya kuwaga na kuwashukuru wakimbiza Mwenge hao iliyofanyika hivi karibuni huko Mnazi mmoja Mkoani humo.
(Picha na Lorietha Laurence-Maelezo)
No comments:
Post a Comment