MKUTANO WA 10 WA MWAKA WA UMOJA WA KAMATI ZA BUNGE ZA HESABU ZA SERIKALI TOKA NCHI WANACHAMA WA SADC (SADCOPAC) WAFUNGULIWA NA PM MJINI ARUSHA LEO
Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akipokelewa na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda
Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali Mhe. Ludovick Uttoh,
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC Mhe. Zitto Kabwe na Mwenyekiti wa
SADCOPAC Mhe. Sipho Makama kutoka Afrika Kusini alipokuwa akiwasili
katika Ukumbi wa AICC Arusha kufungua Mkutano wa Mwaka wa SADCOPAC
kwaniaba ya Rais Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC Mhe. Zitto Kabwe akitoa salam za ukaribisho kwa wajumbe wote wa SADCOPAC.
Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkaribisha mgeni rasmi kufungua mkutano wa
Mwaka wa SADCOPAC katika ukumbi wa AICC mjini Arusha.
Wajumbe wa mkutano wa SADCOPAC katika mkutano huo leo.
Mgeni
rasmi Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akihutubia wajumbe wa mkutano wa
SADCOPAC kwaniaba ya Rais Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
Mgeni
rasmi Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akizindua kitabu cha miaka kumi ya
SADCOPAC mara baada ya kuhutubia wajumbe wa mkutano huo wa SADCOPAC
kwaniaba ya Rais Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo.
Mgeni Rasmi akijibu maswali ya waandishi wa Habari.
Spika wa Bunge na Mgeni Rasmi wakifurahia kikundi cha ngoma mara baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa SADCOPAC.
CAG na
Spika wa Bunge wakimsikiliza kwa makini Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda
mara baada ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa SADCOPAC. Picha zote na Owen
Mwandumbya wa Bunge
No comments:
Post a Comment