
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi
wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio
za Bendera.






Bendera
na Picha ya Mwenyekiti ambazo lengo ni kuwakumbusha wana CCM kukilinda
na kukitetea chama ikiwa pamoja na kuwaeleza utekelezaji wa ilani ya
uchaguzi.

![]() |
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa Ruaha Mbuyuni wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya chama mkoani hapo |

Katibu
wa NEC Itikad na Uenezi akihutubia wakati wa Iringa ambapo aliwaambia
mbio hizo zitawasaidia wakazi wa mkoa huo kuelewa utekelezaji wa ilani
ya uchaguzi, kukilinda na kujenga chama.

Katibu wa NEC akikabidhi mpira kwa moja ya timu zilizofanya vizuri.

Bendera ya Chama ikiwa juu kama ishara ya kuwa mbio za Bendera zimeshaanza.
No comments:
Post a Comment