RAIS SHEIN WA ZANZIBAR AFANYA UZINDUZI WA MADARASA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA MBWENI,ZANZIBAR LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha
Taaluma za Sayansi ya Afya,Dk.Haji Mwita,alipotembelea Dagfhalia ya
Wanafuzi wa Chuo hicho kabla ya kuzindua madarasa ya Chuo hicho leo
huko Mbweni nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha
Taaluma za Sayansi ya Afya,Dk.Haji Mwita,alipotembelea kuona vifaa
mbali mbali vya kufundishia chuoni hapo alipofika kuzindua madarasa ya
kusomea yaliyojenga kwa ufadhili wa Serikali ya Oman kwa kushirikiana
na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa jengo
la madarasa ya Chuo cha Taaluma za Sayansi ya Afya,lililogharamiwa na
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa ushirikiano na Serikali ya
Oman,huko Mbweni Nje ya Mji wa Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Mshauri wa Mambo ya Afya,Wizara ya Afya ya
Oman,Dr.Sayeed Sultan Bin Yarub Bin Qaatan Al- Busaid,wakikata utepe
kama ishara ya ya uzinduzi wa jengo la madarasa ya Chuo cha Taaluma za
Sayansi ya Afya,lililogharamiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa
ushirikiano na Serikali ya Oman,huko Mbweni Nje ya Mji wa Unguja
leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa ushauri wakati alipotembelea moja ya
madarasa ya Chuo cha Taaluma za Sayansi ya Afya,huko mbweni baada ya
kuyazindua rasmi leo,ambayo yamejengwa kwa ufadhili ya Serikali ya
Oman kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Taaluma za Sayansi ya
Afya,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa nasaha zake,baada ya kuyazindua
rasmi madarasa ya chuo hicho leo ,hapo chuoni Mbweni,Mkoa wa Mjini
Mgharabi Nje ya Mji wa Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya Chuo cha Taaluma za Sayansi ya
Afya,kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho Dk. Haji Mwita,baada ya kuyazindua
Rasmi madarasa ya Kusomea,yaliyojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya
Oman,na ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Mshauri wa Mambo ya Afya,Wizara ya Afya ya
Oman,Dr.Sayeed Sultan Bin Yarub Bin Qaatan Al- Busaid,akitoa salamu
zake wakati wa sherehe za uzinduzi wa madarasa mapya ya kusomea katika
Chuo cha Taaluma za Sayansi ya Afya,yaliyojengwa na Serikali ya
Oman,na ushirikiano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake kwa
Wananchi na wanafunzi (hawapo pichani) wakati wa Sherehe za Uzinduzi
wa jengo la madarasa ya Chuo cha Taaluma za Sayansi ya
Afya,lililogharamiwa na Serikali ya Oman kwa kushirikiana na Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar,huko Mbweni Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
leo,(kushoto) Waziri wa Afya Juma Duni Haji,na Mshauri wa Mambo ya
Afya,Wizara ya Afya ya Oman,Dr.Sayeed Sultan Bin Yarub Bin Qaatan Al-
Busaid,(kulia).
Baadhi ya wananchi na viongozi walioalikwa katika
sherehe za uzinduzi wa jengo la madarasa ya Chuo cha Taaluma za
Sayansi ya Afya,lililogharamiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa
ushirikiano na Serikali ya Oman,huko Mbweni Nje ya Mji wa Unguja
leo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa nasaha zake.Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment