Sunday, September 08, 2013

Rais Dkt. Jakaya Kikwete azindua maabara Ukerewe

0L7C0063 0L7C0137 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua na kukagua maabara mpya katika hospitali ya wilaya ya Ukerewe uko Nansio leo mchana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi Mkoani Mwanza kufungua na kukagua miradi ya Maendeleo(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment