Rais
Dkt.Jakaya Mrisho akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya
msingi Ntulya muda mfupi baada ya kuizindua katika kata ya Mondo
wilayani Misungwi leo. Shule hiyo imejengwa kwa msaada wa Shirika lisilo
la kiserikali la Africa School House lenye makao yake nchini
Marekani.Rais Kikwete yupo katika ziara ya kikazi mkoani Mwanza ambapo
atakagua na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo Picha na Freddy Maro
LIKE OUR PAGE ON FACEBOOK
Saturday, September 07, 2013
Rais Dkt. Kikwete azindua Shule ya Msingi Ntulya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment