Saturday, September 07, 2013

WAZIRI MKUU WA UTURUKI AINAMA KUOKOTA BENDERA NDOGO YA NCHI YAKE ILIYOKUWA CHINI YA ARIDHI MBELE YA VIONGOZI WA MATAIFA MAKUBWA.

Waziri Mkuu wa Uturuki  Ragab Taib Ordughan alipokuwa akishiriki Mkutano wa G20 pamoja na viongozi wa Mataifa Makubwa Duniani aliwashangaza Viongozi wa Mataifa Makubwa hayo  na Kupigwa na Butwaa pale walipo muona akiinama na kuokota bendera Ndogo ya nchi yake na kuihifadhi katika Mfuko wa suti yake sehemu ambayo alipangiwa kusimama
Angalia katika Picha Mshangao wa Viongozi wa Mataifa Mengine na kuikota Bendera hiyo Waziri Mkuu wa Uturuki.

Waziri Mkuu wa Uturuki  Ragab Taib Ordughan.

CHANZO :BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment