Rais
Jakaya Kikwete akifuatana na Mbunge wa Nyamagana Mheshimiwa Ezekiel
Wenje, akiwapungia mamia ya wananchi waliokuwa nje ya ukumbi wa
Halmashauri ya Jiji la Mwanza wakati Rais alipoenda kupokea taarifa ya
wilaya ya Nyamagana taqrehe 8.9.2013. Rais Kikwete yupo mkoani Mwanza
kwa ziara ya kikazi ya siku sita
Rais
Jakaya Kikwete akizindua rasmi mradi wa kufua umeme wa megawati 60
katika eneo la Nyakato hapa Mwanza kwa kukata utepe na baadaye kwa
kubonyeza kitufe huku akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali.
Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme nchini TANESCO
Mhandisi Felchim Mramba akifuatiwa na Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo, Rais Kikwete na wa kwanza kulia ni Mbunge wa
Nyamagana Mheshimiwa Ezekiel Wenje tarehe 8.9.2013.

Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo na Waziri wa Nishati na Madini
Profesa Sospeter Muhongo mara tu baada ya Rais kuzindua rasmi mradi wa
umeme wa megawati 60 unaotumia mafuta mazito huko Nyakato Mwanza tarehe
8.9.2013.
Rais
Jakaya Kikwete akifungua rasmi kituo cha Polisi Nyakato kilichogharimu
shs 450 milioni ambazo kwa asilimia kubwa ya fedha za ujenzi huo
zilitolewa na wananchi wa eneo hilo. Wa kwanza kushotot ni Kamanda wa
Polisi wa Mkoa wa Mwanza Ernest Mangu , Mheshimiwa Ezekiel Wenje, Rais,
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Evarist Ndikilo na wa mwisho ni Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa Perera Silima.
Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia Makamanda na askari wa Jeshi la Polisi na wananchi wa Nyakato mara tu baada ya kufungua kituo cha Polisi na baadaye Rais Kikwete alipiga picha ya pamoja na viongozimbalimbali waliohudhuria sherehe hizo tarehe 8.9.2013
Rais jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makamanda
Rais JaKaya Kikwete akiwasalimia baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Nyamagana mara tu alipofika hospitalini hapo kwa ajili ya kufungua rasmi jingo la upasuaji na jingo la wodi ya wazazi tarehe 8.9.2013.
Rais Jakaya Kikwete akifungua rasmi majengo ya upasuaji na wodi ya wazazi kwenye hospitali ya Wilaya ya Nyamagana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mbunge wa Ilemela Mheshimiwa Aines Kiwia mara baada ya Rais kupokea taarifa ya Wilaya ya Ilemela kwenye ofisi ya Mkuu wa wilaya hiyo tarehe 8.9.2013.
Baadhi ya waumini wa Kanisa la Wasabato na wananchi wa Mwanza waliohudhuria uwekaji jiwe la msingi la hospitali hiyo na pia walishiriki katika harambee ya kuchangia huo.
Umati mkubwa wa wananchi wa jiji la Mwanza waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Furahisha katika eneo la Kirumba na kuhutubiwa na Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa ziara yake katika wilaya za Nyamagana na Ilemela tarehe 8.9.2013.

No comments:
Post a Comment