Thursday, September 05, 2013

WABUNGE WA UPINZANI BUNGENI LEO - Sept 5, 2013

Hawa ndio  Wabunge wetu ukweli kwamba tuna safari Ndefu sana ya Kujenga Nchi  na Kama hali hii sijui kama Nchi  ita jengeka Ubabe ubabe kila Mtu anajua ,  hakuna Kiongozi anaye kubali kuongozwa na Bado ujaja kwa sisi Wa ongozwa , Mtu au kikundi fulani kikisimamia Jambo/Mswada  wao basi iwe isiwe utapita.
Mtihani na Msiba zaidi asilimia kubwa ya HAWA  WABUNGE  NDIO WASOMI  SASA HIVI MIJADALA YA KISOMI NDIO INAVYO KUWA HIVYO  ...



Nitaendelea kuipenda Nchi yangu na kuwaombea wote wenye kuongoza na kutaka kuongoza M/Mungu awaongoze na Atuongoze.

                 

No comments:

Post a Comment