Thursday, September 05, 2013

WANATUMIA STARA YA MAVAZI KUFANYA YAO HONGERA JESHI LA POLISI

HUYU DADA KAJI DHALILISHA MWENYEWE DAIMA UISLAMU UPO MBALI NA YEYE NURU YA UISLAM ITAANGAZA MILELE .
Jina lake Anthonia Ojo (25), Raia wa Nigeria amekamatwa na kete 99 za madawa ya kulevya kwenye viwanja vya ndege Dar Es Salaam.

WANAWAKE WA KIISLAM TANZANIA NA DUNIA NZIMA ENDELENI KUVAA MAVAZI YA STARA JAPO BAADHI WANAFANYA VITIMBI ILI KUKUHARIBIENI DAIMA M/MUNGU ATAKUWA MLINZI KWENU KWA VILE HAMNA KOSA LOLOTE AMBALO MNALIFANYA AU MMEPANGA KUFANYA NA HAO WENYE KUTUMIA MAVAZI YA STARA KWA MAMBO YAO M/MUNGU ATAWAUMBUA NA ATAWALIPA KWA NIA ZAO.

No comments:

Post a Comment