WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA RAIS MSTAAFU MHE. MKAPA WASHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA YA BIDHAA ZA CHINA |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais Mstaafu, Benjamimin Mkapa wakitoka kwenye ukumbi wa Benki Kuu jijini Dar es salaam baada ya kufungua mkutano wa kimataifa wa kuadili haki na amani kwenye masuala ya ardh Septemba 10, 2013 |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazamavitenge katika maonyesho ya bidhaa za China kwenye ukumbi wa Diaond Jubilee jijini Dar es salaam Septemba 10, 2013. Kulia kwake ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr. Abdallah Kigoda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment