Thursday, September 05, 2013

Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Misri Mohammad Ibrahim ambaye kwa Mujibu wa Vyombo vya habari vya hapa Nchini Misri na Nje vimeripoti kunusurika Msafara wake na Bomu lilotegwa karibu na Nyumbani kwake huko Madinatoul Nasri katika Mkoa wa Cairo Watu Wanne wameripotiwa kujeruhiwa katika tukio hilo.


SOURCE : Al Jazeera Mubasher Misr قناة الجزيرة مباشر مصر‎
عاجل:- رويترز: انفجار قرب منزل وزير #الداخلية في محافظة القاهرة يؤدي إلى إصابة 4 أشخاص #ajmmisr

No comments:

Post a Comment