Sunday, October 27, 2013

CHANGIA JUZUU MOJA NA M SAHAFU MOJA KWA KILA WIKI MBILI NA JUZUU MBILI NA MA S HAFU MBILI KWA MWEZI KWA NDUGU ZAKO WAISLAMU VIJIJINI

 Account ya Facebook wazeza kunitafuta Kwa Maelezo zaidi ...
ASALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATU.

Changia Juzuu Moja na Mas hafu Moja kwa kila wiki 2 na kwa kila Mwezi Juzuu mbili na Mas hafu Moja lengo kuwapelekea Vijana wa Madrasa Vijijini kwa ajili kujifunzia Qur an kama umeipenda Programu wasiliana nami inbox kwa wale walio facebook @Kijana wa Kiislam Dsm au Wasiliana na Hamisi Fereshi Aleef The Student Mahmud Kiswanya PESA HAZITOPOKELEWA KATIKA PROGRAMU HII UNACHOTAKIWA FIKA DUKA LA VITABU NUNUA JUZUU NA MSAHAFU KISHA FIKISHA KWA HAO TULIO WATAJA , KWA WALIO NJE YA NCHI WANAOTAKA KUSHIRIKI KATIKA JAMBO HILI MTUMIE PESA NDUGU YAKO AU JAMAA YAKO YOYOTE MUAGIZE ANUNUE VIFAA KISHA AVIWASILISHE KWA TULIO WATAJA.

AU FIKA MADRASATUL - AMIN - KIJITONYAMA ALI MAUWA .
 WEKEZA KATIKA KHERI TUTAKUSAIDIA KUWAFIKISHIA WALENGWA .
VILE VILE KWA WALE AMBAO WENYE UWEZO WA KUTOA ZAIDI TUNA WAKARIBISHA KWA IDADI ZAIDI NA HATA VITABU VYA MWANZO VYA KUANZIA MASOMO YA MISINGI YA UISLAMU TUNAVIHITAJIA UKIFIKA DUKANI MFANO , MSIKITI WA MTORO Waweza vipata navyo ni .
1.Irshadul Muslimina 
2.Safinatu Nnajah
3.Durarul bahiyyah
4.Muqadimatul - hadhwaramiyaa
5.Khulaswatu Nnurul yaqiin
Hitajio letu si  Idadi Maalum hata Kontena Moja tutavigawa kwa wahusika kama tulivyo anisha juu.

USTAADH HASSAN NASSOR 0712257492 - UST HUSSEIN NASSOR 0713526494 @HAMISI FERESHI @ ALEEF THE STUDENT @ MAHMOUD KISWANYA Mtawapata kwa Njia Facebook
NAWASHUKURU KWA KUSHIRIKI JAMBO HILI CHANGIA JUZUU MOJA NA MSA HAFU MOJA AU MIWILI KWA AJILI YA VIJANA VIJIJINI.

SHUKRAN WABILLAH TAUFIQH 
M/MUNGU AWALIPE MALIPO YA KHERI KWA KUSHIRIKI JAMBO HILI 
Na Msimamizi Mkuu wa Programu hii :Ghalib Nassor Monero .
+201110189580 Whatsapp.
 
 

No comments:

Post a Comment