Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake juzi usiku wakati wa
hafla ya chakula cha usiku kati yake na wafadhili kutoka ‘General
Electronic health care’ wa mradi wa taasisi ya afya na waalikwa kutoka
wilaya ya Kisarawe,Pwani wanaotoa huduma ya ‘portable ultrasound’
iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dares
Salaam.

wa Rais Mama Salma Kikwete(mstari wa kwanza wa wanne kushoto) akiwa
katika picha ya pamoja juzi usiku wakati hafla ya chakula cha usiku
kati yake na wafadhili kutoka ‘General Electronic health care’ na wadau
mbalimbali kuhusu mradi wa taasisi ya afya na waalikwa kutoka
wilaya ya Kisarawe,Pwani wanaotoa huduma ya ‘portable ultrasound’
iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dares
Salaam.
Dk.
Godfrey Mbaruku akitoa uzoefu wake katika taaluma ya wakati wa hafla
ya chakula cha usiku kati Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
na wafadhili kutoka ‘General Electronic health care’ wa mradi wa
taasisi ya afya na waalikwa kutoka wilaya ya Kisarawe,Pwani wanaotoa
huduma ya ‘portable ultrasound’ iliyofanyika kwenye hoteli ya Hyatt
Regency Kilimanjaro jijini Dares Salaam.
(Picha zote na Magreth Kinabo -Maelezo)
No comments:
Post a Comment