Saturday, October 12, 2013

HARAMBEE YA KUCHANGIA CHAMA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA.

IMG_2216
Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi,(Mzee Ruksa) na Mkewe Mama Siti Mwinyi,walipokuwa wakisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali vuai,katika hafla ya Harambee ya kuchangia CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja,katika ukumbi wa Sea Cliff- Kama, Wilaya ya Kaskazini B,Unguja jana usiku.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_2221
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed
Shein,(kulia) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja,alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff-Kama,katika hafla ya
Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,hafla
hiyo ilifanyika jana usiku.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2223
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed
Shein,(kulia) akisalimiana na wanakamati waliofanya maandalizi mbali
ya  kufanikisha Harambee ya kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa
Kaskazini,alipowasili katika ukumbi wa mikutano wa Sea Cliff-Kama,
jana usiku.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2234
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed
Shein,(katikati) akiwa na viongozi wa chama wakati wa Harambee ya
uchangiaji Fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Chama na ya
kijamii katika Mkoa wa Kaskazini Unguja,hafla ilifanyika ukumbi wa Sea
Cliff-Kama,jana usiku.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2245
Baadhi ya wananchi na wanachama na wapenzi wa CCM
walioalikwa katika hafla ya  Harambee ya kikichangia Chama cha
Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,wakiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Sea
Cliff-Kama, jana usiku.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2254
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed
Shein,akipokea mchango ulitolewa na Mke wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano,Mama Salma Kikwete,kwa niaba yake Katibu wa CCM Mkoa wa
Kaskazini Unguja Katerin   Piternao akikabidhi wakati wa Harambee ya
kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,katika ukumbi wa
mikutano wa Sea Cliff-Kama, jana usiku.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
IMG_2257
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein,na
Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Ali Hssan Mwinyi,(Mzee Ruksa)
wakigonganisha Glasi za maji kama ishara ya kufungua Harambee ya
kikichangia Chama cha Mapinduzi,Mkoa wa Kaskazini,katika ukumbi wa
mikutano wa Sea Cliff-Kama, jana usiku.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment