Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa Binti Witness
Mwalongo anayesoma Kidato cha Kwanza katika Shule ya Sekondari ya Mpechi
iliyopo Mjini Njombe mara tu baada ya kuwasili Rest House mjini hapo
tarehe 17.10.2013. Mama Salma yupo Mkoani Njombe akifuatana na Rais
Kikwete aliye katika ziara ya kuutembelea mkoa wa Njombe kuanzia tarehe
17.10 hadi 23.10.2013.
PICHA NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment