Friday, October 18, 2013

ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI NJOMBE

 
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.
 
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kufungua  kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013.   
 
Rais Jayaka Mrisho Kikwete akifurahi baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe leo Oktoba 18, 2013.
(PICHA NA IKULU)

No comments:

Post a Comment