Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje wa Chama cha Kikomunisti cha
Jamhuri ya Watu wa China Comrade Ai Pin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo,(wa pili kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,na
Asha Rose Migiro Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa,Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Chama cha
Kikomunisti cha Jamhuri ya Watu wa China Comrade Ai Pin,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment