NJIA SAHIHI YA KIJANA KUPATA ELIMU NA UTAMBUZI WA DINI ULIO NA BARKA
UKUMBUSHO
KWA FAMILIA ZENYE UWEZO WA FEDHA NA MAISHA MAZURI YA DUNIA AMBAO MIOYO
YAO IMEFUNGUKA NA ITAFUNGUKA KWA AJILI YA WATOTO WAO KUTAKA KUSOMA
MAARIFA NA UTAMBUZI WA DINI.
" ELIMU INAFUATWA NA WALA ELIMU HAIMFATI MTU " MANENO YA IMAMU MALIK
روي عن الإمام مالك رحمه الله أنه قال :" دخلت على هارون الرشيد ، فقال لي
: يا أبا عبدالله ينبغي أن تختلف إلينا ، حتى يسمع صبياننا منك "الموطأ" ،
قال : أعز الله امير المؤمنين ، إن العلم منكم خرج ، فإن أعززتموه عزّ ،
وإن ذللتموه ذلّ ، والعلم يؤتى ولا يأتي ، فقال : صدقت ، أُخرجوا إلى
المسجد ، حتى تسمعوا مع الناس
NA HATA BARKA YA ELIMU NA UTAMBUZI
INAZIDI IKIWA MADRASA WAONA HAIKO NA MAANDHARI NZURI YA MWANAO KUKAA
MAJAMVI YALIYO CHAKAA BORESHA MAZINGIRA YA MADRASA NA ANGALIA UWEZO WA
M/MUNGU KWA MTOTO WAKO AU WATOTO WA MTOTO WAKO KAMA HAWAJATOKA WAJUZI WA
MAMBO MPAKA NAHW NA BALAGHA WATAIJUA UKIACHILIA MBALI ELIMU YA FIQH NA
AQIDAH.
No comments:
Post a Comment