Rais
Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya kiwanda kipya
cha chai cha Ikanga, Njombe, baada ya kukizindua ikiwa ni sehemu ya
sherehe za uzinduzi rasmi wa mkoa mpya wa Njombe Ijumaa Oktoba 18,
201312:
Rais
Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakikagua chai inavyotengenezwa
katika kiwanda kipya cha chai cha Ikanga, Njombe, baada ya kukizindua
ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi rasmi wa mkoa mpya wa Njombe
Ijumaa Oktoba 18, 201312:
Rais
Jakaya Kikwete akikagua kiwanda kipya cha chai cha Ikanga, Njombe,
baada ya kukizindua ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi rasmi wa
mkoa mpya wa Njombe Ijumaa Oktoba 18, 201312:
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment