Rais Jakaya Kikwete akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw.Juma Ali Simai leo katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa.
Vijana wa Halaiki wakitoa burudani kwa kuimba nyimbo mbalimbali zinazohamasisha umoja wa taifa leo wakati wa kilele cha mbio za mwenge wa uhuru katika viwanja vya Samora mjini Iringa.
Wakimbiza Mwenge wa Uhuru 2013 wakiingia katika viwanja vya CCM Samora mkoani Iringa.
Kiongozi wa mbi za Mwenge wa Uhuru 2013 Bw. Juma Ali Simai akisoma risala ya ujumbe wa wananchi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete mjini Iringa.
Rais Jakaya Kikwete (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wakimbiza mwenge wa Uhuru 2013 mjini Iringa.
Rais Jakaya Kikwete na mama Salma Kikwete (wa tatu kutoka kushoto)
wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo wakiongozwa na Waziri wa Wizara hiyo Dkt. Fenella
Mukangara (wa nne kutoka kushoto)
Wananchi
wa mkoa wa Iringa na vijana wa halaiki wakifuatilia matukio mbalimbali
wakati wa Kilele cha mbio za Mwenge mkoani Iringa.
Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.
No comments:
Post a Comment