Sunday, October 13, 2013

BALOZI WA OMAN AMUAGA RAIS KIKWETE

D92A7845
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Oman nchini anayemaliza muda wake Mhe.Yahya Mousa Al Bakary ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Balozi huyo alikwenda ikulu kumuaga Rais(picha na Freddy Maro)
D92A7847

No comments:

Post a Comment