Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya kikapu kutoka kwa mama
Janeth Luvanda anayewawakilisha akinamama wazee wa wilaya ya Makete
wakati wa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Rais Kikwete katika Mji wa
Iwawa, Makao Mkauu ya wilaya ya Makete tarehe 19.10.2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Paroko wa Kanisa
Katoliki wa Parokia ya Kipengere iliyoko katika Wilaya ya Wanging’ombe ,
Mkoani Njombe wakati Mama Salma alipowasili kijijini hapo tarehe
19.10.2013 akifuatana na Rais Jakaya Kikwete anayetembelea Mkoa wa
Njombe.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na wananchi mbalimbali
waliofika kuwapokea wakati walipowasili kwenye kijiji cha Kipengere
tarehe 19.10.2013.

Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na baadhi ya Mawaziri aliofuatana nao
katika ziara yake ya kuutembelea Mkoa wa Njombe wakati aliposimama
katika kijiji cha Kipengere huko Wanging’ombe kukagua mambo ya maendeleo
na pia kusalimiana nawananchi tarehe 19.10.2013.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na wanachuo wa Chuo cha Ualimu
Tandala kilichoko katika wilaya ya Makete , Mkoani Njombe. Mama Salma
ameambatana na Rais Jakaya Kikwete ambaye yuko katika ziara ya siku
sita ya kutembelea mkoa huo .
Rais
Jakaya Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua rasmi Chuo cha
VETA cha Wilaya ya Makete tarehe 19.10.2013 kilichojengwa katika Mji
wa Iwawa, Makao Makuu ya wilaya hiyo. KatIka hafla hiyo uongozi wa Chuo
hicho umeamua kukipa jina la Jakaya Kikwete kwa jitihada zake
alizowezesha wilaya ya Makete kuwa ya kwanza nchini kuwa na chuo cha
VETA cha wilaya. Kulia kwa Rais Kikwete ni Waziri wa Elimu NA Ufundi Dr.
Shukuru Kawambwa na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Makete Ndugu Josephine
Matiro.
Rais Jakaya Kikwete akifuatana na Mkewe Mama Salma wakitembelea Chuo
cha VETA cha Makete na kuangalia shughuli mbalimbali zinazofanywa na
wanachuo wa chuo hicho mara tu baada ya kukizindua rasmi tarehe
19.10.2013.

Jakaya Kikwete na Mama Salma wakipata maelezo ya namna gani ya kupata
udongo unaofaa kwa ajili ya kufyatua matofali kutoka kwa Geofrrey Sanga
na Abel Mbilinyi, wanachuo wa mwaka wa kwanza wa chuo hicho.
PICHA NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment