Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akisalimiana na Viongozi mbali mbli alipowasili katika
viwanja vya Salama Bwawani Hotel,Mjini Unguja
kulifungua Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50
ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya washiriki wa Kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha
miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama
Bwawani Hotel Mjini Unguja, na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akitoa hutuba yake kulifungua kongamano la Elimu katika
kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, lililofanyika jana
katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kulia) Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna,na MKuu wa
Mkoa MjiniMagharibi Abdalla Mwinyi Khamis.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kushoto) akiwa na Viongozi mbali mbali walipokuwa
wakiangalia maonesho ya Vitabu na kazi mbali mbali baada ya kulifungua
kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya
Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyofanyika nje ya viwanja vya ukumbi wa
Salama Bwawani Mjini zanzibar jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(katikati)pamoja na ujumbe aliofuatana nao wakiwangalia watoto
waliokuwa wakisoma vitabu wakati wa maonesho,yaliyofanyika
nje ya viwanja vya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini zanzibar jana, baada
ya kulifungua kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha
miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo Mafunzo
ya Amali Mkokotoni Mkubwa Ibrahim,wakati alipotembelea kazi za mafundi
uashi jana alipoyazindua maonesho wakati wa kongamano la siku mbili la Elimu katika kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) alipotembelea sehemu ya wanafunzi wasioona wakati
wa maonesho baada ya kulifungua kongamano la Elimu katika kuadhimisha
miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar nje ya ukumbi wa Salama Bwawani Mjini
Unguja jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment