Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akibonyeza kitufe kuzindua rasmi Mradi wa
Umeme Wilaya ya Kisarawe Eneo la Mzinga leo mchana. Wanne kushoto ni Waziri
wa Nishati na Madini Professa Sospeter Muhongo,Watatu kushoto ni Mbunge wa
Kisarawe Mhe.Athumani Jaffo, Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
TANESCO,Mhandisi Felchesmi Mramba na kulia ni Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
No comments:
Post a Comment