Thursday, October 17, 2013

SHEREHE ZA EID NCHINI MISRI ZAFANA CHINI YA USIMAMIZI WA TANZANIA STUDENT UNION (T.S.U)


Picha ya Kwanza ikimuonyesha Mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wanao soma Nchini Misri Ndugu Hussein Mohammed Afif akitoa Neno la Shukran na Nasaha zake kwa Wanafunzi wenzake katika Hafla hiyo ya kusheherekea Sikukuu ya Eid Al Adh - ha .

Na Picha ya Pili Inamuonyesha Muakilishi kutoka Ubalozini akitoa Nasaha nae alikuwa kama Mgeni Mkuu Mualikwa katika Sherehe hizo Picha kwa Hisani ya Mpiga Picha Maalum.

No comments:

Post a Comment