Friday, October 18, 2013

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA AENDELEA NA ZIARA NCHINI CHINA

IMG_0086

Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Rais wa Benki ya Exim  ya China, Bw.Li Ruogu mjini Beijing Oktoba  17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  IMG_0097

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa Benki ya EXim ya China Bw. Li Ruogu baada ya mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

 IMG_0102

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na rais wa Benki ya Exim ya China , Bw.  Li Ruogu kabla ya mazungumzo yao  mjini Beijing Oktoba 17, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0118 

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akizungumza na  Rais wa China Development Bank (CDB), Bw. Zheng Zhijie   kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing Oktoba 17, 2013. kushto  ni Waziei wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Ukezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary  Nagu na Kulia ni Balozi wa China nchin, Dr. Lu  Youqing. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  IMG_0138

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Bank, Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Oktoba 17, 2013. Kushoto ni Balozi wa China Nchini Dr. Lu Youqing. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 IMG_0141 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akipokea zawadi kutoka kwa Rais wa China Development Bank, Bw. Zheng Zhijie (katikati) baada ya mazungumzo yao kwenye makao makuu ya Benki hiyo mjini Beijing, Oktoba 17, 2013.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment