Tanzania
leo Mwezi Umeandama na Kuanzia Magharib na Mchana wa kesho ni Mwezi
Mosi Dhulhija ( Mfungo Tatu) hii ikiwa na Maana Eid itakuwa Jumatano ya
tarehe 10 Dhul Hijjah itakayokuwa sawia na tarehe 16 mwezi huu wa
Okotoba.
NAWATAKIA KILA LA KHERI NA NAWAAMBIA KULLU AAM WA ANTUM BIKHEYR.
No comments:
Post a Comment