Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na viongozi
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Chengdu
Shuangliu nchini China wakiwa katika ziara ya kakazi nchini humo Oktoba
21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mkuu, Mizengo Pinda akiondoka katika Nyumba ya wageni ya Wozhou,
Shenzhen tayari kwa safari ya kwenda Chendu akiwa katika ziara ya
kikazi nchini China Oktoba 21, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment