Zanzibar Charitable Society yakabidhi msaada wa nguo Chambani , Pemba
WALIMU wa skuli ya Sekondari Chambani
Wilaya ya Chake Chake, wakiangalia nguo walizopatiwa msaada kwa wanafunzi wao, kutoka kwa Jumuiya ya Zanzibar
Charitable Society.(Picha na Abdi
Suleiman, Pemba.)
MKURUGENZI wa Jumuiya ya Zanzibar
Charitable Society, Zahor Mazrui akimkabidhi nguo, msaidizi Mwalimu Mkuu wa
skuli ya Chambani Sekondari Wilaya ya Chake Chake, Muharam Omar Mohamed, .(Picha
na Abdi Suleiman, Pemba.)
MKURUGENZI wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society, Zahor Mazrui akimkabidhi nguo, mmoja kati mya wanafunzi wa skuli ya Sekondari Chambani Wilaya ya Chake Chake .(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
No comments:
Post a Comment