Katibu Mkuu Cuf aanza ziara za kukiimarisha chama
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wanachama
na wapenzi wa chama hicho katika eneo la Mfenesini, wakati wa ziara yake
ya kichama katika Wilaya ya Magharibi Unguja.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea mabati 100 kutoka
kwa Mwakilishi wa viti maalum (CUF) Mhe. Zahra Ali Hamad, kwa ajili ya
Ofisi ya Jimbo la Bububu.
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika Tawi la
Kidatu 'A' Mtoni, wakati wa ziara yake ya kichama katika Wilaya ya
Magharibi Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment