Wednesday, October 16, 2013

Ziara ya waziri mkuu mhe. Mizengo pinda nchini china


IMG_0028

Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda na Mkewe Tunu wakimsikiliza Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo  (kushoto) wakati aliposoma taarifa kwa Waziri Mkuu  ambaye Oktoba 16, 2013 aliwasili mjiniBeijing kwa   ziara ya kikazi nchini China >(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  IMG_0072 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiagana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya China  National Machinery Industry Federation na Mwenyekiti wa Bod ya Kampuni ya TBEA, Bw, Zhang Xin  baada a mazungumzo yao mjini Beijing Oktoba 16, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment