Ewe Mola Wetu Tunakuomba Tujaalie kabla Mauti kutufika Turejee Kwako (Toba)
Na wakati wa kutoka Roho zetu tupe uwezo wa Kutamka Shahada : ASH – HADU AN LAA ILAAHA ILLAL-LAAHU WA ASH-HADU ANNA MUHAMMADAN ABDUHU WA RASUULUHU” Na Baada ya Kifo Ewe Mola Wetu tunakuomba Tujaalie (tupe) Pepo. Amiin Amiiin Amiin.
ZIDISHA NA FANYA KWA SANA EWE NDUGU YANGU WA KIISLAM MAOMBI KAMA HAYA KILA UNAPOKUWA KATIKA IBADA ZAKO MSIKITINI,DARASANI,NYUMBANI,KAZINI N.K
KUMBUKA DUA NI IBADA Ewe Mola WETU POKEA MAOMBI YETU WAJA WAKO.
No comments:
Post a Comment