Tuesday, June 05, 2012

GB 1





Ndugu zangu Wapendwa hivi Ingekuwa Memory zetu (AKILI) za kuweza kuhifadhi vitu ni Gb 1 tu ambayo haina formatting wala Scanning kwa kuweka Data Mpya JEE WEWE UNGEPENDA KATIKA GB1 HIYO UHIFADHI NINI ?

No comments:

Post a Comment