Ewe Kijana wa Kiislam Kaka yangu Mpendwa Dada yangu Mpendwa Kumbuka kwamba IMANI YANGU NA YAKO HAIKAMILIKI MPAKA TUMPENDE MTUME MUHAMMAD(S.A.W) kuliko Mtu/kitu chengine chochote Soma kwa Makini Hadith hii ya Mtume.
Imepokewa na Anas Radhi za M/Mungu Zimshukie Juu yake Amesema:
Amesema Mtume wa M/Mungu rehma za Mungu zimshukie Juu yake na Amani "Hatoamini Mmoja wenu (kuwa na Imani ya kweli) Mpaka anipende Mimi kuliko Baba yake na watoto wake na watu wote" Rehma za Mungu zimshukie Juu yake Na Amani.(kama alivyosema Mtume). Hadith Imepokewa na Imamu Bukhari.
Katika Hadith Tunajifunza Mambo Makuu Matatu.
1.Muumini wa Kweli Kiimani Mapenzi yake huwa Kwa Mtume kwanza kabla ya Kitu/Mtu Mwengine.
2.Mtume amemtaja Baba(Mzazi) na Mtoto katika Hadithi hii kwa sababu Mapenzi ya Baba na Mtoto ndio yanakuwa karibu Mno kuliko kwa Mtu Mwengine.
3.Hadithi hii inatuelekeza/kututaka Kumfata Mtume kwanza kabla ya Mtu Mwengine yeyote.

No comments:
Post a Comment