Tuesday, June 05, 2012

Maana ya Nia





Maana ya Nia Ki Sharia ( FIQH )

NIA NI KUKUSUDIA KITU CHENYE KUAMBATANA NA KITENDO UNACHOTAKA KUTENDA ISIPOKUWA FUNGA.

Ikiwa Umenuia Kitu na hiko kitu ulichonuia kikawa hakikuambatana na Kitendo ambacho unataka kukifanya hiyo Inaitwa 3ZIMAA Na sio NIA.

MAHALA PA NIA NI MOYONI

Angalizo:-
Namba 3 Nakusudia Ayin = ع

No comments:

Post a Comment