Monday, June 04, 2012

RAFIKI BORA NA NDUGU BORA



Rafiki Bora Ndugu Bora Ni yule ambaye anaye kukumbusha Mema na kuku usia kuacha Mabaya kwa Maneno Mazuri yaliyo na Faraja Ndani yake na sio kukuacha katika Mabaya na kukusema Kaka/Dada Fulani Mbaya Tukumbuke kwamba Umati wetu huu wa Mtume Muhammad Rehma za M/Mungu zimshukie Juu yake na Amani umekuwa Bora kwa Kukumbushana Mema na kukatazana Mabaya
Ushahidi QUR - AN
Surati Ali Imran Aya 110: "Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu, na mnamuamini Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa Watu wa Kitabu nao wameamini ingeli kuwa bora kwao. Wapo miongoni mwao waumini, lakini wengi wao wapotovu."
Tushikamane katika kusaka Radhi za Mungu Kwa kukumbushana Mazuri na kushirkiana katika mema na vile kukumbushana kuacha Mabaya 

No comments:

Post a Comment