Tuesday, July 30, 2013

Nguzo za IMANI

Jikumbushe

hii ni Nguzo ya Pili ya Dini ya Kiislamu inajengeka juu ya nguzo sita zifuatazo


1.Kumuamini Allah
2.Kuwaamini malaika wa Allah.
3.Kuviamini vitabu vya Allah.
4.Kuwaamini mitume (wote ) wa Allah.
5.Kuamini siku ya mwisho.
6.Kuamini qadari (Uwezo) wa Allah ( ya kheri au ya shari) kuwa inatoka kwa Allah .

hizi Sita Ndio Nguzo za Imani ...

No comments:

Post a Comment