Jikumbushe Ndugu yangu Muislamu kuwa
Nguzo za Uislam ziku Tano
1.Kutamka Shahada Mbili
2.Kudumisha Swala
3.Kutoa Zakkah
4.Kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
5.Kuhiji Makkah kwa Ajili ya Ibada ( kwa Mwenye uwezo ) .
JIKUMBUSHE ZAIDI KUHUSU SWALA .
Swala ndio ibada ya kwanza kabisa aliyo iwajibisha M/Mungu Mtukufu kwa waja wake katika ule usiku Mtukufu wa Israa na Miraji.
Na ndio ibada pekee aliyopewa Mtume Mbinguni bila ya Ukati wa Malaika Jibrilu (Malaika ambaye kazi yake kushusha Wahyi kwa Mitume) kwani ibada nyingine zote alipewa hapa hapa duniani kupitia kwa Malaika Jibrilu-Allah amshushie amani.
Ibada ya Swala NDIO NGUZO KUU YA DINI YA UISLAM ....

No comments:
Post a Comment