WAFUASI WA RAIS MOHAMMED MORSI WAENDELEA NA MAANDAMANO YA KUTAKA KUREJESHWA RAIS WAO.
Picha hizi ni za Asubuhi ya leo Jumapili Tarehe 4 Wafuasi wa Rais aliye Ondolewa Madarakani
wakiwa katika Viwanja vya Raabiatul Adawia ( Madinatul Nnasir) katika Muendelezo wa Maandamano yao ya kutaka kurejeshwa kwa Rais wao wanao Muunga Mkono Dr Mohammad Morsi
No comments:
Post a Comment