![]() |
Ni Vifaa vya Muziki hutumika kusafirishia Mzigo |
![]() |
Mfano wa Karanga |
![]() |
Kopo za Soda |
![]() |
Mbao |
![]() |
Betri ya Gari |
![]() |
Vigae |
![]() |
Karanga |
Madawa haya huaribu Nguvu kazi ya Taifa ambayo ni Vijana .
Wauzaji wa Madawa haya wamekuwa na Njia Nyingi sana ambazo wanazitumia ikiwa kuingiza Mzigo katika Nchi fulani au hata usafirishaji wa Nchi hiyo hiyo.
Katika Nchi tofauti vimeundwa vikundi mbalimbali vya kudhibiti Madawa haya lakini nao wenye kufanya Biashara hii wako Macho katika kuja na Mbinu tofauti kila kukicha ili kuhakikisha Mambo yao yanenda.
Leo tukuletea baadhi ya Njia za usafirishaji wa Madawa haya ambazo zimegunduliwa na Kitengo cha Udhibiti wa Madawa ya kulevyea Nchini Misri.
ZIKO NJIA NYINGI TUZILETA KWENU KUSAIDIANA NA VYOMBO HUSIKA KUPIGANA NA JANGA HILI.
No comments:
Post a Comment