Attahiyyaatuli-LLaah, was-swalawaatu wat-twayyibaatu. Assalaamu 'alayka ayyuhan-Nabiyyu wa-RahmatuLLaahi wa Barakaatuh. Assalaamu 'alaynaa wa 'alaa ibaadi-Llaahi-Swaalihiyn. Ash-hadu al-laa Ilaaha illa-Allaah, wa-ash-hadu anna Muhammadar Rasuulu-Allaah.
Allaahumma
Swalli 'alaa Muhammadiw wa 'alaa aali Muhammad. Kamaa Swallayta 'alaa
Ibraahiyma wa 'alaa aali Ibraahiyma, Innaka Hamiydum-Majiyd. Allaahumma
Baarik 'alaa Muhammadiw wa 'alaa aali Muhammadin kama Baarakta
'alaa Ibrahiyma wa 'alaa aali Ibraahiym Innaka Hamiydum-Majiyd.
----------------------------------------------------------------------------- Maamkizi mema, na Rehma na mazuri yote, ni kwa Allaah, amani zishuke juu yako Ewe Mtume na Rehma za Allaah na Baraka Zake, amani ishuke juu yetu, na juu ya waja wa Allaah walio wema, nakiri kwamba hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila ni Allaah na ninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake na ni Mtume wake

Ee
Allaah Mrehemu Muhammad na jamaa zake Muhammad kama Uliyomrehemu
Ibraahiym na jamaa zake Ibraahiym, hakika Wewe ni Mwenye kusifika
Mtukufu. Ewe Allaah Mbariki Muhammad na jamaa zake Muhammad, kama Ulivyombariki Ibraahiym na jamaa zake Ibraahiym, hakika Wewe ni Mwenye kusifika Mtukufu.
----------------------------------------------------------------------------
التَّحِيّـاتُ
للهِ وَالصَّلَـواتُ والطَّيِّـبات ، السَّلامُ عَلَيـكَ أَيُّهـا
النَّبِـيُّ وَرَحْمَـةُ اللهِ وَبَرَكـاتُه ، السَّلامُ عَلَيْـنا
وَعَلـى عِبـادِ كَ الصَّـالِحـين . أَشْـهَدُ أَنْ لا إِلـهَ إِلاّ الله ،
وَأَشْـهَدُ أَنَّ مُحَمّـداً عَبْـدُهُ وَرَسـولُه.
اللّهُـمَّ صَلِّ عَلـى مُحمَّـد، وَعَلـى آلِ مُحمَّد، كَمـا صَلَّيـتَ عَلـى إبْراهـيمَ
وَعَلـى آلِ إبْراهـيم، إِنَّكَ حَمـيدٌ مَجـيد ، اللّهُـمَّ بارِكْ عَلـى
مُحمَّـد، وَعَلـى آلِ مُحمَّـد، كَمـا بارِكْتَ عَلـى إبْراهـيمَ وَعَلـى آلِ إبْراهيم، إِنَّكَ حَمـيدٌ مَجـيد .
PENDA KUJIFUNZA JAMBO JIPYA KILA SIKU TUNAWATAKIA IJUMAA NJEMA.
No comments:
Post a Comment