Monday, September 09, 2013

Rais Kikwete ahutubia Malefu ya wakazi wa Mwanza

1 (2)
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wakazi wa Mwanza na miji ya jirani katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo jioni.Rais Kikwete yupo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo. 4 (2)

Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo ili kumsikliza Rais Jakaya Kikwete Jana.

No comments:

Post a Comment