Sunday, October 13, 2013

TANZANIA, RWANDA NA BURUNDI NA BENKI YA DUNIA ZASAINI MKATABA WA MRADI WA UMEME RUSUMO

IMG_1658
Waziri wa Fedha, Wizara ya Fedha Tanzania Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa katikati akisaini mkataba wa mradi wa umeme wa Rusumo, kulia kwake ni Waziri wa Fedha na Mipango ya Uchumi Burundi Mhe. Tabu Manirakiza, kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Mkakati na Uendeshaji ukanda wa Afrika Bw. Colin Bruce Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma na Bi Eva Valerian – Washington DC
IMG_1670
Naibu Katibu Mkuu, Umoja wa nchi za Afrika Mashariki Dkt. Enock Bukuku akimfafanulia jambo Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula walioko pembeni ni baadhi ya walihudhuria mkutano  wa kusainiwa kwa mkataba wa Rusumo.
IMG_1679
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mgimwa akikabidhiwa mkataba na Mkurugenzi wa Mkakati na Uendeshaji ukanda wa Afrika Bw. Colin Bruce mara baada ya kusaini.
IMG_1682
Mawaziri wa  Fedha wa nchi tatu, kutoka  kushoto Waziri wa Fedha na Mipango ya Uchumi wa Burudi Mhe. Tabu Manirakiza, Waziri wa Fedha wa Tanzania Dkt. Wiliam Mgimwa, Mkurugenzi wa Mkakati na Uendeshaji ukanda wa Afrika Bw. Colin Bruce na Waziri wa Fedha na Mipango wa Rwanda Mhe. Clever Gatete na pamoja na wakitabasamu mara baada ya kusaini mkataba hu
IMG_1685
Ujumbe wan chi tatu Tanzania, Rwanda na Burundi pamoja na Benki ya Dunia wakifuatilia majadiliano mara baada ya kusainiwa kwa mkataba huo.
IMG_1691
Ujumbe wan chi tatu Tanzania, Rwanda na Burundi pamoja na Benki ya Dunia wakifuatilia majadiliano mara baada ya kusainiwa kwa mkataba huo.

No comments:

Post a Comment