Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na Meya wa Manispaa ya Ilala
Jerry Silaa wakati akishiriki matembezi ya hisani katika kuchangisha
fedha kwa ajili ya mpango wa Dawati ni Elimu yaliofanika leo jijini Dar
es salaam na kushorikisha wadau mbalimbali katika masuala ya Elimu hapa
Matembezi hayo yakipitia mtaa wa Ohio jini Dar es salaam, wanne kutoka
kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi
Matembezi ya hisani ya Dawati ni elimu yakianza uwanja wa Mnazi mmoja leo 12 Ocktoba.
Mgeni
rasmi Mama Salma Kikwete akifurahia zawadi yake yake aliyokabidhiwa na
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa mara baada ya matembezi hayo.
Mgeni
rasmi Mama Salma Kikwete akisisitisha umuhimu wa elimu wakati
akizungumza na washiriki wa matembezi hayo mara baada ya kumalizika
jijini Dar es salaam leo.
Mazoezi kabla ya matembezi ya hisani ya Dawati ni Elimu
Mama
Salma Kikwete akipokea zawadi yake kutoka kwa Jerry Silaa Meya wa
Manispaa ya Ilala leo mara baada ya kushiriki matembezi ya Dawati ni
Elimu yaliyofanyika jijini Dar es salaam leo.
No comments:
Post a Comment